WESTMINSTER SHORTER CATECHISM IN SWAHILI (KATEKISIMU FUPI)

  • Main
  • WESTMINSTER SHORTER CATECHISM IN...

WESTMINSTER SHORTER CATECHISM IN SWAHILI (KATEKISIMU FUPI)

Daniel J. Seni
이 책이 얼마나 마음에 드셨습니까?
파일의 품질이 어떻습니까?
책의 품질을 평가하시려면 책을 다운로드하시기 바랍니다
다운로드된 파일들의 품질이 어떻습니까?
Katekisimu [κατηχέω] ni neno la Kigiriki lenye maana ya kufundisha kwa mdomo kwa mfumo wa maswali na majibu. Ni njia ambayo tangu zamani ilitumiwa kwa ajili ya kufundisha kwa muhtasari imani ya Kikristo.
Tumelazimika kutoa ufafanuzi mfupi ili kupinga majaribio ya wazushi ambao hulaghai washirika kwa madai kwamba Katekisimu iko kidini sana, na siyo kiroho, madai ambayo hayana ukweli wowote. Watumiaji wanapaswa kujua kwamba Katekisimu hii imesheheni mafundisho ya msingi ya Ukristo kwa kuzingatia Biblia Takatifu.
Kuna aina kuu mbili za Katekisimu za Westminister; Katekisimu fupi na Katekisimu ndefu. Katekismu fupi ina maswali 107 na Katekisimu ndefu ina maswali 196. Hii ni Katekisimu fupi ambayo ilianza kuandikwa mwaka 1646 na kumalizika mwaka 1647. Iliandaliwa na sinodi ya wanatheolojia Warefomati wa Uingereza na Scotland. Makanisa mengi ya “Ki-Refomati” (Reformed Churches), yakiwemo makanisa ya Ki-Presibiteriani hutumia Katekisimu hii.
Hivyo basi, dhima yetu ni kuhakikisha kwamba washirika wote wanafundishwa misingi ya imani ya Kikristo kwa kuzingatia Katekisimu hii. Na kwamba baada ya kumakinika katika Katekisimu fupi, pia wawe tayari kumakinika katika Katekisimu ndefu.
Tafsiri hii imetokana na toleo la Kiingereza cha Kisasa, na hivyo tumejaribu kuzingatia maneno-msingi na tahajia yake, na pia tumejaribu kwa umakini kuzingatia maana ya awali.
DANIEL JOHN SENI
권:
1
년:
2020
판:
1
출판사:
Moccony Printers
언어:
kikuyu
페이지:
30
ISBN 10:
9976884605
ISBN 13:
9789976884609
시리즈:
1
파일:
PDF, 695 KB
IPFS:
CID , CID Blake2b
kikuyu, 2020
온라인으로 읽기
로의 변환이 실행 중입니다
로의 변환이 실패되었습니다

주로 사용되는 용어